Maisha
Kulala chini ya saa 7 huchochea magonjwa ya moyo
Kulala ni moja ya mahitaji muhimu ya mwili, sawa na chakula na maji. Watu wengi wanadharau usingizi kwa sababu ya ratiba ngumu ...Putin atoa wito wanajeshi wa Ukraine wajiuzulu akiwaahidi kuwapa huduma bora
Rais wa Urusi, Vladmir Putin ametoa wito kwa wanajeshi wa Ukraine walioko katika eneo la Kursk la Urusi kujisalimisha, huku mazungumzo ya ...Polisi: Mtoto aliyedaiwa ametekwa ni kawaida yake kutoroka
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa ufafanuzi wa kutekwa kwa mtoto Shadrack Adam (11) mwanafunzi wa darasa la Sita, ambapo limesema kuwa ...Serikali yatangaza kumalizika kwa ugonjwa wa Marburg nchini
Wizara ya Afya imetangaza kumalizika kwa ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) nchini . Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya imesema wagonjwa ...Anastazia ahukumiwa miaka mitatu jela kwa kukutwa na kilo 5 za bangi
Mahakama ya Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza imemhukumu Anastazia Mgaya (41) mkazi wa Kijiji cha Mtoni, Kata ya Nakatungu kifungo cha miaka ...Waziri Mkuu azindua kituo kipya cha Nzega kilichogharimu bilioni 4
Kassim Majaliwa leo Machi 13, 2025 amezindua kituo kipya cha mabasi cha Nzega mjini ambacho ujenzi wake umegharimu shilingi bilioni 4.327. Akizungumza ...