Maisha
Nchi 5 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wasio na uhakika wa chakula
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuhusu maeneo yenye njaa kali (UN Hunger Hotspots) imeonyesha uhaba mkubwa wa chakula barani Afrika. Ripoti ...Athari za kihisia kwa vijana wanaotegemea AI kama rafiki
Programu ya Akili Mnemba (AI) imekuwa msaada mkubwa katika kutoa majibu kwa masuala mbalimbali na kurahisisha kazi nyingi za kila siku. Hata ...Achomwa moto kwa madai ya kumuua mkewe, kumpika vipande na kuwapa watoto
Mwanamume mmoja nchini Kenya aliyejulikana kwa jina la Stephen Onserio (50) amechomwa moto hadi kufa na wananchi wenye hasira kali kwa madai ...Nchi 10 maskini zaidi Afrika kwa mwaka 2025
Bara la Afrika lina karibu asilimia 19 ya watu wote duniani, lakini linachangia chini ya asilimia 3 tu ya uchumi wa dunia ...Makalla aagiza watia nia waliochangishwa fedha Meatu kurudishiwa fedha zao
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ameelekeza watia nia wa ubunge na udiwani waliolipishwa fedha ...Raia 76 wa Ghana waliodanganywa kupewa ajira Nigeria waokolewa
Jeshi la Polisi la Ghana limethibitisha kuwa limewaokoa raia 76 wa Ghana waliokuwa wamesafirishwa kwenda nchini Nigeria kupitia mpango wa udanganyifu wa ...








