Maisha
Nchi 10 maskini zaidi Afrika kwa mwaka 2025
Bara la Afrika lina karibu asilimia 19 ya watu wote duniani, lakini linachangia chini ya asilimia 3 tu ya uchumi wa dunia ...Makalla aagiza watia nia waliochangishwa fedha Meatu kurudishiwa fedha zao
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ameelekeza watia nia wa ubunge na udiwani waliolipishwa fedha ...Raia 76 wa Ghana waliodanganywa kupewa ajira Nigeria waokolewa
Jeshi la Polisi la Ghana limethibitisha kuwa limewaokoa raia 76 wa Ghana waliokuwa wamesafirishwa kwenda nchini Nigeria kupitia mpango wa udanganyifu wa ...Utafiti: Kuzuiwa kwa USAID kunaweza kusababisha vifo zaidi ya milioni 14 ifikapo 2030
Utafiti umebini kuwa kupunguzwa kwa kiasi kikubwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) na uwezekano wa kuvunjwa kwa ...Muswada Kenya wapendekeza kifungo cha mwaka mmoja kuandamana bila taarifa
Kenya imewasilisha muswada mpya wa mwaka 2024 unaolenga kudhibiti mikusanyiko na maandamano ya umma, huku ukiweka masharti makali kwa waandaaji na washiriki ...Mwanafunzi wa mwaka wa mwisho ajiua baada ya kusimamishwa chuo
Simanzi na huzuni zimetanda katika Chuo Kikuu cha Babcock nchini Nigeria kufuatia kifo cha Joshua Lawson (20), mwanafunzi wa mwaka wa mwisho ...









