Maisha
‘Big Mama’ ashitakiwa kwa kusambaza picha za ngono za watoto
Mwanamke mmoja wa makamo, Regina Munyoki maarufu kama Big Mama, amefikishwa katika Mahakama ya Mombasa nchini Kenya akikabiliwa na mashitaka ya kusambaza ...Serikali: Tunafanya mashauriano na Marekani isizuie Watanzania kuingia Marekani
Serikali imesema imeanza kufanya mashauriano na Marekani ili kujua maeneo yanayohitaji kufanyiwa maboresho, hususani kwenye masuala ya kikonseli ili raia wa Tanzania ...Tyler Perry ashitakiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia
Mwigizaji na mwandishi wa filamu, Derek Dixon, amemshtaki Tyler Perry kwa madai ya unyanyasaji wa kijinsia katika kesi iliyowasilishwa wiki iliyopita katika ...Mwanachuo ashikiliwa kwa mauaji ya mwenzake kisa ulevi
Polisi mkoani Mbeya wanamshikilia Emilian Duzu (21) mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kwa ...Kijana ashikiliwa kwa kupanga njama za kumuua mama yake
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Seven Kipara (38) mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama za kumuua mama yao mzazi, ...Naibu Inspekta wa Polisi Kenya akaa pembeni kupisha uchunguzi
Naibu Inspekta Mkuu wa Polisi nchini Kenya, Eliud Lagat amekaa pembeni kupisha uchunguzi juu ya kifo cha mwanablogu Albert Ojwang aliyefariki akiwa ...









