Maisha
TMA yatangaza uwepo wa kimbunga IALY
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga ‘IALY’ katika Bahari ya Hindi Kaskazini mwa kisiwa cha ...RC aamuru walimu waliogomea uhamisho kuripoti haraka kazini
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amewaamuru walimu wawili wa shule ya Msingi ya Mabatini, iliyopo Manispaa ya Tabora, Juma Mahundi ...Dawa za kulevya kilogramu milioni 1.96 zakamatwa nchini mwaka 2023
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola imefanikisha kukamata jumla ya kilogramu ...Sababu za aliyekuwa waziri nchini Gambia kuhukumiwa miaka 20 jela
Mahakama Kuu ya Uswizi Mei 15, 2024 imemhukumu Ousman Sonko (55), Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani wa Gambia, kifungo cha ...Biashara 10 zinazohitaji uvumilivu lakini zina faida
Kuanzisha biashara mara nyingi kunahitaji muda wa kujenga msingi imara. Hii inaweza kujumuisha kufanya utafiti, kujenga mtandao wa wateja, na kupitia kipindi ...Watano wakamatwa kwa ubakaji na ulawiti wa watoto Morogoro
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kutenda makosa ya ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo na wanafunzi ...