Maisha
Ajinyonga akimtuhumu mke wake kumsaliti na kijana wa mtaani
Amani Ibrahim mwenye umri wa miaka 27 mkazi wa Ibungiro C Jijini Mwanza amejiua kwa kujinyonga kwa madai ya kumtuhumu mke wake ...Mabaki ya panya yapatikana kwenye mikate Japan, kiwanda chasimamishwa
Kampuni maarufu ya mikate nchini Japan iitwayo Pasco Shikishima imeagiza kurejeshwa kwa maelfu ya mikate na wateja kurejeshewa pesa zao baada ya ...Askari ajeruhiwa vibaya na kundi lililojaribu kuvamia mgodi wa North Mara
Askari wa Jeshi wa Polisi ameripotiwa kujeruhiwa vibaya na kundi la watu waliokuwa wanataka kuvamia Mgodi wa Dhahabu wa North Mara kwa ...Rais Samia: Matumizi ya gesi ni lazima sio anasa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ili kukabiliana na matumizi ya nishati chafu ya kupikia na kuondoa madhara ya kiafya, ni wakati wa ...Ajirusha mtoni baada ya kudhihakiwa baa kwamba hawezi kupigana
Timu ya kudhibiti majanga nchini Kenya inaendelea na msako wa kumtafuta mwanaume anayedaiwa kuruka kwenye mto uliokuwa umejaa maji baada ya kudhihakiwa ...