Maisha
Polisi kuwasaka waliohusika kuwaua wanandoa Moshi
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawasaka watu waliohusika katika mauaji ya watu wawili ambao ni wanandoa, Geofrey Mota (60), aliyeuawa kwa kukatwa ...Mwanamke aliyemuuza bintiye kwa mganga ahukumiwa kifungo cha maisha jela
Mwanamke aliyemteka na kumuuza binti yake wa miaka sita akiwa na washirika wake wawili nchini Afrika Kusini, amehukumiwa kifungo cha maisha jela. ...Amuua baba mkwe baada ya kuwaamulia ugomvi
Polisi katika eneo la Mukaa, Kaunti ya Makueni nchini Kenya wameanzisha uchunguzi kufuatia tukio la kusikitisha ambapo mwanaume wa makamo anadaiwa kumuua ...Wezi wavunja kanisa, wanywa divai na kula mikate ya sakramenti
Taharuki imetanda miongoni mwa waumini wa Kanisa la Anglikana (ACK) St. Matthew’s Mutithi lililopo Kirinyaga, baada ya watu wasiojulikana kuvunja na kuiba ...Mwanaume wa miaka 52 ashikiliwa kwa kumuua mpenzi wake wa zamani kisa wivu
Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia Macherege Wambura (52) mkazi wa Kijiji cha Robanda Wilaya ya Serengeti mkoani Mara kwa tuhuma za ...Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limesema linamshikilia na linaendelea kumhoji Diana Bundala na maarufu kama Mfalme Zumaridi (42) ambaye ameyageuza makazi yake ...









