Maisha
Zaidi ya watu 1,000 wamepoteza maisha kutokana na tetemeko la ardhi Myanmar
Tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 katika kipimo cha Richter limeikumba Myanmar, na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,000 ...UDART yatangaza kusitisha huduma za usafiri baadhi ya maeneo kutokana na mvua
Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) imesema kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, imepelekea kusitisha kwa muda kwa huduma ...Marekani yapanga kusitisha ufadhili kwa Shirika la chanjo
Marekani inapanga kusitisha ufadhili wake kwa shirika la Utoaji wa Chanjo Duniani (GAVI) ikiwa ni sehemu ya juhudi za Rais Donald Trump ...Watu 18 wafariki baada ya moto mkubwa kuzuka Korea Kusini
Takriban watu 18 wamepoteza maisha na wengine 19 kujeruhiwa kutokana na moto mkubwa uliozuka Mashariki mwa Korea Kusini, huku zaidi ya watu ...Fahamu Mimea 10 hatari na isiyofaa kupandwa majumbani
Kupamba nyumba kwa mimea ni jambo linaloongeza mvuto na hali ya hewa safi. Hata hivyo, kuna baadhi ya mimea isiyofaa kupandwa majumbani ...Rais Ndayishimiye: Rwanda inapanga kuishambulia Burundi
Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye amesema anayo taarifa za kiintelijensia zinazoonesha kuwa Rwanda inakusudia kushambulia nchi yake. Aidha, ametaja jaribio la mapinduzi ...