Maisha
Mtoto ashikiliwa kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake Njombe
Kamanda wa Polisi mkoani Njombe, Mahamoud Banga amesema Jeshi la Polisi mkoani humo linamshikilia mtoto wa miaka 12 kwa tuhuma za kumlawiti ...Mwanamke afukuzwa na wanakijiji kwa tuhuma za uchawi
Mwanamke mwenye umri wa takribani miaka 60, mkazi wa Kitongoji cha Ipapa kilichopo Kijiji cha Isongole, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe, amefukuzwa ...Rais Samia: Serikali itafanya uchunguzi ili kudhibiti mafuriko
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na mvua zinazoendelea kuleta athari katika baadhi ya maeneo hapa nchini Serikali inakwenda kufanya uchunguzi wa ...Wanafunzi waliofariki katika ajali Arusha wafikia watano
Wanafunzi waliofariki kutokana na ajali ya gari la Shule ya Msingi Ghati Memorial ya mkoani Arusha katika mitaa ya Dampo Sinoni, Kata ...Wakazi wa Ngorongoro wadai kutishiwa wasizungumze na vyombo vya habari
Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji Ngorongoro mkoani Arusha, Edward Maura amesema wakazi wa eneo hilo wamekuwa wakipata vitisho mbalimbali ili wasizungumze na ...Mambo 6 muhimu ya kuepuka wakati wa usaili wa kazi
Usaili wa kazi ni mchakato muhimu katika kupata ajira ambapo mwajiri anachunguza uwezo, ustadi, na sifa za mwombaji ili kufanya maamuzi ya ...