Maisha
Raia wa Ethiopia wakamatwa Manyara wakielekea Afrika Kusini
Jeshi la Polisi mkoani Manyara linawashikilia raia 17 wa Ethiopia wanaodaiwa kuingia nchini bila kibali wakielekea Afrika Kusini. Kaimu Kamanda wa Polisi ...Yanga yawasilisha malalamiko CAF kuhusu goli la Aziz Ki
Uongozi wa Yanga SC umeandika barua kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ukitaka uchunguzi ufanyike juu ya goli la Yanga ...Polisi wawaonya ‘bodaboda’ kuingilia misafara ya viongozi
Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoani Kigoma kimekemea tabia za madereva wa pikipiki zinazobeba abiria, maarufu ‘bodaboda’ kuingilia misafara ya viongozi na wakati ...DCEA yakamata dawa za kulevya tani 54.5
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na Wakala ...Mwanamke akiri kumnywesha sumu mtoto mchanga wa jirani yake
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mwanamke aliyetajwa kwa jina la Wande Shija, mkazi wa Mtaa wa Mbagala B, Kitongoji cha Magharibi ...Rais Samia aagiza ulinzi wa haki ya faragha ya kila mtu
Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza ulindwaji wa haki ya faragha ya kila mtu ambayo ni haki ya msingi ya binadamu kwa mujibu ...