Maisha
Mahakama yafuta kesi ya Wakili Madeleka kwa kushindwa kuiendesha
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha imeridhia kufuta maombi ya Wakili Peter Madeleka ya kufungua shauri dhidi ya Kamati ya Maadili ...MOI: Asilimia 60 wanaopata ajali za bodaboda wanaathiri ubongo
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Profesa Abel Makubi amesema asilimia 60 ya majeruhi wa ajali hasa ajali zinazohusiana ...Mawasiliano ya barabara katika Daraja la Somanga yarejea
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imesema mawasiliano ya barabara kuu ya kutoka Dar es Salaam na mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara ...Ndugu wajiua baada ya baba yao kumpa shamba mke wake wa zamani
Kisa cha kustaajabisha kimeripotiwa katika kijiji cha Kapsilibwa huko Sagamian, Kaunti ya Narok nchini Kenya baada ya ndugu wawili kukatisha maisha yao ...Sababu za Waafrika wengi kubaguliwa sana Italia
Katika utafiti uliofanywa hivi karibuni nchini Italia, ambao umeonyesha kiwango cha juu cha ubaguzi unaowakabili Waafrika wanaoishi nchini humo, imekuwa dhahiri kuwa ...Tanzania yapokea trilioni 1.4 kukabiliana na Malaria, TB na UKIMWI
Serikali imepokea Dola za Kimarekani milioni 602, sawa na trilioni 1.4 za Kitanzania kwa ajili ya kukabiliana na magonjwa ya Malaria, Kifua ...