Maisha
Sudan Kusini yafunga shule zote kutokana na joto kali
Serikali ya Sudan Kusini imechukua hatua za haraka kwa kufunga shule zote kwa muda usiojulikana kutokana na wimbi la joto ambalo linatishia ...TBS yasema vyakula vilivyotolewa na Marekani ni salama
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema msaada wa chakula uliotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa kushirikiana na Taasisi ya Jumuiya ...Mabeyo: Hayati Magufuli alitaka kurudishwa nyumbani kabla ya kufariki
Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo ameeleza kuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Pombe Magufuli alitaka arudishwe nyumbani kutoka ...Fahamu chanzo cha kwikwi na namna ya kuizuia
Kwikwi hutokana na kushtuka na kusinyaa ghafla kwa misuli mikuu ya upumuaji (diaphragm) ambako hujirudia rudia na kusababisha hewa kuingia kwa kasi ...Dkt. Kikwete ameshinda tuzo ya Amani barani Afrika mwaka 2023
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kiongozi bora wa mwaka 2023 katika Tuzo za Kiongozi Bora wa Afrika ...Watano wakamatwa kwa uchochezi mtandaoni dhidi ya viongozi wa serikali
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo na uchochezi kupitia ...