Maisha
Kijana achoma nyumba ya familia baada ya ugomvi na mama wa kambo
Familia moja katika kaunti ya Vihiga, eneo la South Maragoli nchini Kenya imeachwa bila makazi baada ya kijana wao wa miaka 22 ...Wahukumiwa jela miaka 30 kwa kumlawiti mtoto aliyeomba msaada wa hifadhi
Mahakama ya Kericho nchini Kenya imewahukumu wanaume wawili kifungo cha miaka 30 jela kila mmoja kwa kosa la kumlawiti mvulana wa miaka ...Wasifu wa marehemu Balozi Juma Volter Mwapachu
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Juma Mwapachu amefariki dunia jana Machi 28, 2025 katika Hospitali ya ...Zaidi ya watu 1,000 wamepoteza maisha kutokana na tetemeko la ardhi Myanmar
Tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 katika kipimo cha Richter limeikumba Myanmar, na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,000 ...UDART yatangaza kusitisha huduma za usafiri baadhi ya maeneo kutokana na mvua
Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) imesema kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, imepelekea kusitisha kwa muda kwa huduma ...Marekani yapanga kusitisha ufadhili kwa Shirika la chanjo
Marekani inapanga kusitisha ufadhili wake kwa shirika la Utoaji wa Chanjo Duniani (GAVI) ikiwa ni sehemu ya juhudi za Rais Donald Trump ...









