Maisha
Watu 18 wafariki baada ya moto mkubwa kuzuka Korea Kusini
Takriban watu 18 wamepoteza maisha na wengine 19 kujeruhiwa kutokana na moto mkubwa uliozuka Mashariki mwa Korea Kusini, huku zaidi ya watu ...Fahamu Mimea 10 hatari na isiyofaa kupandwa majumbani
Kupamba nyumba kwa mimea ni jambo linaloongeza mvuto na hali ya hewa safi. Hata hivyo, kuna baadhi ya mimea isiyofaa kupandwa majumbani ...Rais Ndayishimiye: Rwanda inapanga kuishambulia Burundi
Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye amesema anayo taarifa za kiintelijensia zinazoonesha kuwa Rwanda inakusudia kushambulia nchi yake. Aidha, ametaja jaribio la mapinduzi ...Ndege yalazimika kugeuza baada ya rubani kusahau pasipoti yake
Ndege ya United Airlines aina ya Boeing 787 iliyokuwa ikisafiri kutoka Los Angeles hadi Shanghai ililazimika kurejea nyuma takriban saa mbili baada ...Nchi 10 za Afrika zenye furaha zaidi mwaka 2025
Furaha ni hisia ya utulivu na kuridhika inayotokana na hali nzuri ya maisha, mafanikio, au upendo kutoka kwa wengine. Lakini ukweli ni ...Majaliwa: wafanyabiashara endeleeni kuwa na imani na Rais Samia
WaziriMkuu, Kassim Majaliwa amezitaka jumuiya za wafanyabiashara nchini kuendelea kuwa na imani na Rais Samia Suluhu Hassan kwani amedhamiria kutatua changamoto zinazohusu ...









