Maisha
Rais Samia aahidi Tanzania kuwa na umeme wa uhakika
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya awamu ya sita imetimiza kutoa huduma ya maji vijijini kwa asilimia 83 ikiwa ni pungufu ...Tiktok yasababisha kwenda jela miaka mitatu
Mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa TikTok nchini Indonesia amehukumiwa kifungo cha karibu miaka mitatu jela baada ya kuripotiwa kuzungumza na picha ...Mramba: Biashara ya kuuziana umeme kutainufaisha Tanzania
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba ametoa ufafanuzi zaidi kuhusu hatua ya Serikali kununua umeme nchini Ethiopitia kupitia nchini ...Wawili wabainika kuwa na ugonjwa wa Mpox nchini
Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa wagonjwa wawili wenye maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kimaabara. ...TMA yatangaza uwepo wa kimbunga ‘JUDE’ kwenye Bahari ya Hindi
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza uwepo wa kimbunga ‘JUDE’ katika Bahari ya Hindi eneo la Rasi ya Msumbiji. Katika ...Utafiti waonesha vijana wa Kitanzania wanaongoza kwa ustahimilivu wa akili
Utafiti mpya wa Mental State of the World 2024, uliotolewa na Sapien Labs umebaini vijana wa Kitanzania wana ustahimilivu mkubwa wa kiakili ...