Maisha
Ripoti: Marekani yathibitisha kundi hatari la Mexico lilikuwa na maabara ya dawa za kulevya Kenya
Serikali ya Marekani imethibitisha kuwa kundi hatari la uhalifu kutoka nchini Mexico, Jalisco New Generation Cartel (CJNG), lilikuwa likiendesha maabara kubwa ya ...Mkenya aliyehukumiwa kifo Vietnam adaiwa kuwahi kufungwa Ghana kwa usafirishaji madawa
Mwanamke mmoja Mkenya, ambaye kwa sasa yuko gerezani Hong Kong, amedai kuwa aliwahi kufungwa nchini Ghana pamoja na Mkenya anayesubiri kunyongwa nchini ...Israel yashambulia Gaza na kuua zaidi ya watu 400
Zaidi ya Wapalestina 400, wameuawa katika mashambulizi mapya ya Israel ambayo yameonekana kuvunja makubaliano ya usitishwaji wa mapigano Gaza. Hamas imeishutumu Israel ...WHO yasema zaidi ya milioni 10 wanaweza kuambukizwa HIV baada ya Marekani kusitisha misaada
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha uwezekano wa maambukizi mapya ya HIV zaidi ya milioni 10 na vifo vya watu milioni 3, ...Rais Samia awataka watumishi wa Sekta ya Ardhi kubadilika na kuachana na vitendo vya rushwa
Rais Suluhu Hassan amewataka watumishi wa Sekta ya Ardhi nchini kubadilika na kuachana na vitendo vya rushwa pamoja na maamuzi yasiyo ya ...








