Maisha
Dkt. Mpango: Serikali inatarajia kupokea ndege mpya mbili
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema hivi karibuni Serikali inatarajia kupokea ndege mpya mbili aina ya Boeing 737 9 max na ...Kenya: Wake wenza wafikishana mahakamani kuhusu wapi mume wao atazikwa
Familia mbili nchini Kenya zimeingia katika mvutano mkubwa wa kisheria kuhusu mahali ambapo atazikwa aliyekuwa mume wa wanawake wawili ambaye alifariki akiwa ...Dkt. Mwinyi aondoa kodi ya sukari Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye sukari ...Akamatwa kwa kuiba mtoto ili awaridhishe wakwe zake
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mariam Renatus (22) kwa tuhuma za kuiba mtoto wa miezi 10, Miracle ...Waliofariki kwenye ajali Arusha wafikia 25
Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali iliyohusisha lori na magari mengine madogo matatu katika eneo la Ngaramtoni Kibaoni mkoani Arusha imefikia 25 ...Watatu wakamatwa kwa kumvua nguo na kumuibia mchungaji Kenya
Polisi jijini Nairobi nchini Kenya wamewakamata watuhumiwa watatu wa wizi wanaodaiwa kumteka mchungaji na kumvua nguo kisha kumuibia Ksh.55,000, sawa na TZS ...