Maisha
Serikali yaiagiza TAA kuvunja mkataba wa ujenzi wa uwanja wa ndege Songea
Serikali imeiagiza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha ...Wasifu mfupi wa Profesa Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili
Profesa Mohamed Janabi ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili aliyebobea kwenye magonjwa ya moyo. Amekuwa akishauri masuala ya ulaji ...Watu 8 wakamatwa kwa tuhuma za kumuua Mgambo Kilimanjaro
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu nane kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Farijara Hamis Mboya, maarufu kwa jina la ...Mahakama Kenya yaamuru wafungwa kupewa haki ya kuzika wanafamilia wao
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru wafungwa wote nchini humo kupewa haki kama binadamu wengine, ikiwemo haki ya kuhudhuria mazishi ya wanafamilia wao, ...Polisi kufanya msako wa magari yaliyofungwa ving’ora na yaliyoongezwa taa
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Ramadhani Ng’anzi ameagiza kikosi cha usalama barabarani kukamata magari yote ...Uganda: Mahakama yatoa adhabu kwa wanawake wanaotuma watoto kuomba mtaani
Mahakama nchini Uganda imewahukumu zaidi ya wanawake 100 kufanya kazi za jamii bila malipo kwa mwezi mmoja kwa kukiri kuwatumia watoto wao ...