Maisha
Watumishi wa afya wasimamishwa kazi kwa kutofanya usafi
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Ugalla kilichopo Kata ya Ugalla ...Bunge laipa Serikali hadi Juni 2024 kumaliza mgao wa umeme
Serikali imesema kufikia Machi mwaka huu mgao wa umeme unatarajiwa kumalizika baada ya kufanikiwa kufanya majaribio ya mtambo namba tisa katika Bwawa ...Mahakama yaamuru nyumba ya mtoto wa Mbowe ipigwe mnada
Mahakama Kuu ya Tanzania imeamuru nyumba ya mkurugenzi wa gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe iliyoko eneo la Mikocheni Dar es Salaam ...Jinsi ya kufurahia Valentine kwa walio ‘single’
Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) inaweza kuwa changamoto kwa watu ambao hawako kwenye uhusiano ya kimapenzi. Hii ni kwa sababu siku hii ...Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi kushiriki maandamano Mwanza
Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa amethibitisha kushiriki katika maandamano ya ...Polisi washikiliwa kwa kuuza pombe haramu na kuua watu 17
Katika kisa kilichoshangaza katika eneo la Kirinyaga nchini Kenya, watu 17 wamepoteza maisha baada ya kunywa pombe haramu ambayo inadaiwa waliuziwa na ...