Maisha
Madagascar yapitisha sheria ya kuwahasi wabakaji wa watoto
Bunge la Madagascar limeidhinisha sheria mpya ambayo itawafanya watu waliopatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto kuhasiwa na kuhukumiwa kifungo ...Dar yaongoza kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa Red Eyes
Wizara ya Afya imewaasa wananchi kuacha tabia ya kutumia dawa za macho zisizo rasmi kwa lengo la kutibu ugonjwa wa macho mekundu ...Bodaboda jela miaka 30 kwa kumbaka abiria wake mkoani Kigoma
Mahakama ya Hakimu Mkazi Uvinza imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela dereva wa bodaboda, Ruben Gerishon (24) mkazi wa Kijiji cha Mlela ...Dkt. Mollel: Serikali inalifanyia kazi suala la sheria kuruhusu utoaji mimba
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa, matatizo yatokanayo na utoaji mimba ni moja ya sababu inayochangia vifo ...Sita wafariki na watano wapatwa na upofu kwa kunywa pombe iliyokwisha muda wake
Watu sita wamefariki huku wengine watano wakipata upofu baada ya kudaiwa kunywa pombe iliyokuwa imekwisha muda wa matumizi inayojulikana kwa jina la ...