Maisha
Gharama ya kufunga mfumo wa gesi kwenye magari yafikia milioni 2
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imebaini kuwa gharama kubwa za ufungaji wa mfumo wa gesi kwenye magari nchini zimechangia uwepo ...Biteko: Upungufu wa umeme umepungua baada ya mvua kunyesha
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali kupitia Wizara ya Nishati kwa kishirikiana na Shirika la Umeme ...Polisi: Tunawasaka waliozusha taarifa za mauaji ya raia wa Kihindi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya jamii kuwa kuna raia watatu wenye asili ...Mahakama yabariki kuuawa aliyeua mtoto kisa alimrushia mawe
Mahakama ya Rufani imebariki adhabu ya kunyongwa hadi kufa Charles Zewanga, mkazi wa Insani wilayani Mbozi, Mkoa wa Songwe kwa kumuua mtoto ...Adaiwa kumchinja mkewe mjamzito, kutoa watoto tumboni na kumpika mmoja
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake ...Miji 10 Afrika yenye kiwango kikubwa cha uhalifu 2024
Uhalifu unaweza kumaanisha aina mbalimbali za vitendo visivyo halali au vinavyokiuka sheria katika jamii. Kuna makundi mengi ya uhalifu ambayo yanajumuisha mambo ...