Maisha
Kenya: Maafisa wa Polisi washikiliwa kwa kumminya mtuhumiwa sehemu za siri
Maafisa watatu wa polisi nchini Kenya wanashikiliwa kwa tuhuma za kumtesa na kukandamiza viungo vya uzazi vya mwanamume aliyekuwa ameshikiliwa katika Kituo ...Rais Samia awasihi majaji kutenda haki katika mashauri
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa majaji na mahakimu wote nchini kuwajibika kwa kufanya kazi zao kwa uadilifu na kutenda haki, ...Wanafunzi wasombwa na maji wakiogelea mtoni
Wanafunzi wawili wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Tumaini, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamefariki dunia kwa kusombwa na maji ...Uongozi wa Rais Samia waleta mafanikio katika sekta ya benki nchini
Sera bora za uchumi tangu Rais Samia Suluhu Hassan achukue madaraka zimeleta mafanikio makubwa kwenye sekta ya benki nchini Tanzania ambapo benki ...Wasusia mazishi wakidai marehemu hakushiriki shughuli za kijiji
Katika hali ya kushangaza kanisa moja huko Kisii nchini Kenya, limelazimika kuingilia kati na kufanya mazishi ya mwanaume mmoja ambaye mwili wake ...Rais Samia: Serikali imejipanga kukuza sekta ya uvuvi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imejipanga kikamilifu kuchochea ukuaji wa sekta ya uvuvi kupitia mipango na programu mbalimbali ili kuongeza mchango ...