Maisha
Nchi 10 zenye hali bora ya chakula barani Afrika
Ongezeko la bei ya chakula limekuwa changamoto kubwa duniani, likiathiri watu binafsi, jamii na mataifa kwa njia tofauti, sababu zikiwa ni pamoja ...Mnada wa kuuza vitu vya Mandela nchini Marekani umesitishwa
Mnada wa kuuza vitu binafsi takribani 70 vya Hayati Nelson Mandela ikiwa ni pamoja na vifaa vyake vya kusikia, fimbo na miwani ...Ishara 10 zinazoonesha kuwa unahitaji kuacha kazi yako
Uamuzi wa kuacha kazi ni mchakato wa kujitathmini kwa kina ili kuelewa kama kazi inakidhi matarajio yako na malengo ya maisha yako ...Rais Samia: Tunapanda miti kuimarisha mazingira ya nchi
Katika kuadhimisha kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Rais Samia Suluhu Hassan, amesema siku hii imeadhimishwa kwa kupanda miti kwa sababu ya ...Kapinga: TANESCO rekebisheni transifoma ndani ya siku 30 umeme usikatike
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa siku 30 kwa Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha wanafanyia kazi dosari na mapungufu yote ...Watumishi wa afya wapigwa marufuku kuchati kazini
Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu amewapiga marufuku watumishi wa afya katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini kuchati wakiwa ...