Maisha
Polisi Peter alifariki kwa upungufu wa damu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya limefafanua kuwa mtuhumiwa Peter Mwita Wanda, mkazi wa Sabasaba Tarime alifariki akipatiwa matibabu kutokana na ...Mmiliki wa kituo cha watoto Kibaha jela maisha kwa kubaka watoto
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha imemhukumu kifungo cha maisha jela Stephano Anyosisye Mwasala (35), aliyekuwa mmiliki wa kituo cha kulea watoto wanaoishi ...Wanaume wa Kinondoni waongoza kwa mabusha
Wanaume 127 kati ya 165 waliofanyiwa uchunguzi mkoani Dar es Salaam kuanzia Januari 05 hadi 08, mwaka huu, wamepatikana na ugonjwa wa ...Wawili kwenda jela miaka 30 kwa unyang’anyi wa kumia silaha Mvomero
Mahakama ya Wilaya ya Mvomero imewahukumu vijana wawili kifungo cha miaka 30 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kosa ...Wanne mbaroni kwa tuhuma za unyang’anyi wakiwa na jeneza Mabwepande
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watu wanne wanaoendelea kuhojiwa kwa tuhuma za kufanya vitendo vya unyang’anyi, uporaji ...Polisi kuchunguzwa kuhusu vifo vitatu vya watuhumiwa
Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Askari Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji kwa tuhuma za kumpiga risasi Shaban Said Luluba, Mkazi wa Kijiji ...








