Maisha
Polisi wamshikilia aliyemkata kichwa mtoto wake
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Amedius Mfoi (25) dereva bodaboda mkazi wa Muriet Jijini Arusha kwa tuhuma ...Kenya: Watakaobainika kuwa na vyeti feki watarudisha mishahara yote waliyolipwa
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi nchini Kenya (EACC) imetoa onyo kuhusu matumizi ya vyeti feki vya masomo yanayofanywa na baadhi ...Jinsi ya kujua ikiwa ‘link’ ya barua pepe si salama
Ulaghai kupitia barua pepe, unaojulikana kama ‘phishing,’ ni aina ya udanganyifu mtandaoni ambao wadukuzi hutumia kwa lengo la kupata taarifa binafsi kutoka ...Rais Samia: Vijana wanatoroka kujiunga na vikundi vya ugaidi nje ya nchi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na viongozi wa nchi jirani wanaendelea na mazungumzo ili kuona njia bora ...Wagoma kujiunga kidato cha kwanza kutokana na wahitimu kukosa ajira
Baadhi ya wanafunzi waliotakiwa kujiunga na kidato cha kwanza katika maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa wamegoma kuripoti shuleni kwa kigezo kuwa ...Wakamatwa wakijaribu kutapeli kwa kuuza madini hospitalini
Watu wawili wanaoshukiwa kuwa ni matapeli wamekamatwa katika Taasisi ya Saratani Ocean Road walipokuwa wakijaribu kumtapeli moja ya kati ya ndugu wa ...