Maisha
Bashe: Upungufu wa sukari nchini utaisha Machi 2024
Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji ...RC Burian: Wanaume tumieni mihogo kuongeza nguvu za kiume
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Burian amewaasa kinamama kutumia mihogo aina ya TARI Tumbi IV kuwasaidia wanaume zao kutatua ...Afrika Kusini yapinga vitu vya Hayati Mandela kupigwa mnada Marekani
Serikali ya Afrika Kusini inaendelea na jitihada za kuzuia mnada wa vitu vya shujaa wa kupinga ubaguzi wa rangi, Hayati Nelson Mandela, ...Ahukumiwa miaka 50 jela kwa kumkosoa mfalme kupitia Facebook
Mwanaharakati wa zamani wa demokrasia kutoka nchini Thailand, Mongkol Thirakot (30) amehukumiwa kifungo cha miaka 50 jela kwa kukosoa utawala wa Mfalme ...Uganda: Amkata vipande mpwa wake na kumpa mkewe apike
Polisi nchini Uganda wanamshikilia mwanaume mwenye umri wa miaka 34 kwa kumkata vipande vipande mpwa wake mwenye umri wa miaka tisa kisha ...Mwanamke aliyehukumiwa miaka 30 jela kwa kutoitunza vizuri mimba yake aachiwa huru
Mwanamke nchini El Salvador aliyetambulika kwa jina la Lilian (28) ameachiliwa kutoka gerezani baada ya kutumikia adhabu kwa miaka nane kutokana na ...