Maisha
Wakunga na Wauguzi 1,330 wafutiwa matokeo
Baraza la Ukunga na Uuguzi Tanzania limetangaza kufuta matokeo ya mtihani wa usajili na leseni za wauguzi na wakunga kwa watahiniwa wa ...Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Red Eyes
Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya ...Rayvan awajibu wanaosema anadandia remix za wasanii
Msanii Raymond Mwakyusa, maarufu Rayvanny amewajia juu watu wanaosema kuwa amezidi kufanya ‘remix’ za nyimbo zinazofanya vizuri kutoka kwa wasanii wenzake nchini ...Mwalimu bora wa kike ashitakiwa kwa ubakaji wa wanafunzi
Aliyewahi kuwa mshindi wa tuzo ya mwalimu bora wa mwaka kutoka Texas nchini Marekani amefunguliwa mashtaka ya makosa ya unyanyasaji wa kijinsia ...Benki ya NMB yatoa fidia ya shilingi milioni 270 kwa wahanga wa mafuriko ya matope ...
Na Mwandishi Wetu, Hanang Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya bima ya Reliance Insurance wamekabidhi hundi ya shilingi milioni 270 ...Baba adaiwa kumuua mtoto wa miezi mitano kisa kulialia
Jeshi la Polisi mkoani Geita linamsaka Kabilu Mayege (20) mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa mkoani humo kwa tuhuma za kumpiga na kusababisha ...