Maisha
Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyima tendo la ndoa
Jeshi la Polisi mkoani Njombe limesema chanzo cha mtuhumiwa wa mauaji, Juma Kyando kwa mke wake, Tumaini Luvanda (35) ni ugomvi wa ...Pasipoti 10 za nchi za Afrika zenye nguvu zaidi
Katika mwaka wa 2023, maeneo mbalimbali duniani yamerekebisha sera zao za usafiri kwa sababu mbalimbali ambazo zimewezesha au kuzuia ufikiaji wa mipaka ...DCEA yapongezwa ukamataji wa dawa za kulevya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kufuatia ukamataji wa dawa za kulevya zaidi ...Watanzania 22,000 walifariki kwa UKIMWI 2023
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kwa mwaka 2023 kufikia vifo 22,000, ikilinganishwa na vifo 29,000 vilivyotokea ...Rais Samia: Tusipochangia huduma za matibabu, huduma zitarudi nyuma
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi kuchangia gharama za matibabu kwa kuhakikisha kuwa kila Mtanzania anakuwa na bima ya afya ...Watalii wa Kenya wakimbilia Tanzania baada ya ada ya kuingia Masai Mara kupandishwa
Seneta wa Narok nchini Kenya, Ledama Ole Kina, ameeleza nia yake ya kuwasilisha kesi mahakamani kupinga ongezeko jipya la ada ya kuingia ...