Maisha
Gharama za kuingia Kenya zapanda baada ya Serikali kuondoa visa
Baada ya uamuzi wa Serikali ya Kenya kutangaza kuondoa visa kwa wageni wote kutoka barani Afrika, baadhi ya wageni wamelalamikia utaratibu huo ...Mwananchi apigwa risasi akiokota kuni ndani ya hifadhi
Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia askari wanne wa maliasili kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Semeni Hamisi (34), mkazi wa ...Serikali yanunua vifaa tiba vya bilioni 14.9 kwa ajili ya majimbo yote 214
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa fedha za nyongeza TZS bilioni 14.9 mwezi Novemba, 2023 ...Jela miaka 100 kwa kukutwa na meno ya tembo
Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imewahukumu watu watano kifungo cha miaka 100 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ...Kenya: Bodaboda waishtaki Serikali kwa kutotekeleza ahadi iliyowaahidi kwenye kampeni
Katika hatua isiyokuwa ya kawaida, waendesha pikipiki (bodaboda) kutoka jijini Malindi wameamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, ...TANESCO: LUKU kuisha haraka kumechangiwa na mapumziko ya mwisho wa mwaka
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema hali inayoendelea kwa sasa kwa baadhi ya wateja kulalamika mita za LUKU kutumia umeme zaidi tofauti ...