Maisha
Wanaume wawili waliovalia mavazi ya kike wauawa na Polisi katika tukio la ujambazi Mwanza
Watu wawili wa jinsia ya kiume wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa eneo la Kabambo, Kata ya Kiseke, Tarafa ya Ilemela mkoani Mwanza ...Polisi: Taarifa za uwepo wa mbakaji ‘Teleza’ ni uvumi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limewaonya wananchi waliotaka kumshambulia mwananchi mmoja wakimtuhumu kuwa ni mbakaji maarufu kwa jina la ‘Teleza’. Taarifa ...Aliyevaa sare za JWTZ ili asikataliwe na mchumba wake ahukumiwa kwenda jela
Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemuhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na ...Wakazi wa kijiji cha Italia waamriwa wasiugue
Meya wa kijiji cha Belcastro, Antonio Torchia, amewataka wakazi wa kijiji hicho cha kaskazini mwa Italia kuepuka kupata magonjwa yanayohitaji msaada wa ...Baba wa kambo akamatwa kwa kumbaka, kumlawiti mtoto wa mwaka mmoja hadi kufariki
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Doto Maduhu Sita (32) mkazi wa Kishiri, Wilaya ya Nyamagana ambaye ni baba wa kambo wa ...Waziri Gwajima: Wasio na elimu ya uandaaji wa maudhui mtandaoni waache mara moja
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amekemea ongezeko la maudhui yasiyofaa yanayozalishwa na waandaji wa ...








