Maisha
Akubali kutalakiana na mume wake kuliko kurudi kijijini
Mdaiwa Tumaini Angumbwike (35) mkazi wa Makunguru ameiambia Mahakama ya Mwanzo mkoani Mbeya kuwa yuko tayari kutalakiana na mume wake kuliko kurudi ...Bodi yatangaza kusimama kwa Ligi Kuu NBC kwa miezi miwili
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kusimama kwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC hadi Machi 1, 2025 itakaporejea kwa michezo ...Wakamatwa kwa kumuua mwanamke kisa wivu wa mapenzi
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata watuhumiwa wawili waliokuwa wakitafutwa kwa tuhuma za mauaji ya Editha Anderson (32) mkazi wa Mtaa wa ...Bwana harusi aliyejiteka apandishwa mahakamani
Vincent Masawe (36) mkazi wa Kigamboni na Bwana harusi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha na baadaye kupatikana akiwa kwa amejificha kwa mganga ...Watu saba wafariki kwenye ajali Handeni, DC atoa tamko
Watu saba wamepoteza maisha na wengine 10 wamejeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha lori na Coaster eneo la Michungwani Kata ya Segera wilaya ya ...Polisi: Harufu haikuwa kichwa cha mtu, bali ni dawa zilizochanganywa na utumbo wa samaki
Jeshi la Polisi mkoani Singida limekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mtu mmoja kutiliwa shaka na wafanyakazi wa basi namba ...









