Maisha
Mganga Mkuu wa Serikali: Tusizushe taharuki juu ya ugonjwa wa Marburg
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Grace Magembe amewataka wananchi hususan wa Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera kutozusha taharuki na hofu na badala yake ...Kigamboni yaletewa ‘teksi za baharini’ kupunguza adha ya usafiri
Serikali kwa kushirikiana na kampuni ya Azam Marine zimetangaza ujio mpya wa vivuko utakaopunguza kwa kiasi kikubwa adha ya usafiri kwa wananchi ...Adaiwa kumkata vipande mke wake baada ya kumfumania na mwanaume mwingine
Mwanaume anayejulikana kwa jina la John Kiama Wambua anashikiliwa na polisi nchini Kenya kwa tuhuma za kumuua kikatili mke wake, Joy Fridah ...WHO yaipa Tanzania Bilioni 7.5 kukabiliana na Virusi vya Marburg nchini
Rais Samia Suluhu Hassan amesema baada ya kuwepo kwa uvumi kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg katika mkoa wa Kagera, ...Polisi ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kubaka na kumuua daktari
Mahakama moja nchini India imemhukumu kifungo cha maisha Sanjay Roy, polisi aliyekuwa akijitolea katika Idara ya Polisi, baada ya kupatikana na hatia ...