Maisha
Mwanamke wa miaka 70 ajifungua mapacha
Mwanamke mmoja kutoka nchini Uganda mwenye umri wa miaka 70 amejifungua mapacha baada ya kupata ujauzito kupitia matibabu ya kupandikiza (IVF), na ...Petroli inavyoathiri watoto wadogo wanaopakizwa kwenye bodaboda
Kupakia watoto chini ya umri wa miaka tisa kwenye pikipiki peke yao ni hatari inayozidi kuongezeka na inayozua wasiwasi kuhusu usalama wao ...Askari wawili wakamatwa Dar sakata la kifo cha mlinzi wa baa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata askari polisi wawili kwa kosa la kumjeruhi kwa risasi mtu mmoja aliyefahamika ...Nauli za daladala zapanda. Hizi ni nauli mpya zilizotangazwa na LATRA
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli mpya ya mabasi ya mijini na masafa marefu ambapo safari ambazo hazizidi kilomita 10 ...Suluo: Maafisa wa LATRA msiwakaripie madereva
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo amewataka maafisa wa LATRA kuwa na kauli nzuri pindi wanapowasimamisha ...