Maisha
Mmoja wa Watanzania wawili waliopotea nchini Israel afariki dunia
Mmoja wa vijana wawili wa Kitanzania wanaoaminika kushikiliwa mateka na kundi la Hamas tangu kuanza kwa mapigano na Israel Oktoba 7 mwaka ...Sabaya na wenzake washinda tena rufaa dhidi ya Serikali
Mahakama ya Rufaa Tanzania imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ...Nchi 10 za Afrika zenye miundombinu bora ya barabara
Barabara ni muhimu sana katika kuleta maendeleoya jamii. Nchi nyingi zinafanya jitihada kubwa kuwekeza katika ujenzi wa barabara kwa sababu barabara nzuri ...Rais wa Malawi azuia yeye na baraza la mawaziri kusafiri nje ya nchi
Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera amechukua hatua kali za kubana matumizi kwa kusitisha mara moja safari zake zote za kimataifa na serikali ...Mfumuko wa bei Nigeria wazidi kupanda na kufikia 27.33%
Wananchi wa Nigeria wanakabiliana na changamoto kubwa kutokana na ongezeko la mfumuko wa bei, ambao umefikia asilimia 27.33 mwezi Oktoba ikilinganishwa na ...Walio tayari kuhama Jangwani kulipwa fidia
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema wananchi walio tayari kupokea fedha ...