Maisha
Tanzania na Saudi Arabia zasaini mikataba ya ajira kwa Watanzania
Tanzania imesaini mikataba miwili na Serikali ya Saudi Arabia kwa ajili ya kuajiri Watanzania nchini humo. Mikataba hiyo imeingiwa wakati wa ziara ...Shura ya Maimam: Wamemkamata Sheikh Ponda ila maandamano yako pale pale
Baada ya Jeshi la Polisi kuthibitisha kumkamata Katibu Mkuu wa Shura ya Maimam, Sheikh Ponda Issa kwa madai ya kutaka kuongoza maandamano ...Asilimia 80 ya Watanzania wanaamini ni sahihi mume kumpiga mke
Takribani nusu (asilimia 48) ya wanawake na theluthi moja (asilimia 32) ya wanaume nchini wanaamini mume ana haki ya kumpiga mke au ...Watanzania wengi huchukua hadi miaka 18 kumaliza kujenga nyumba
Ripoti ya utafiti kuhusu mahitaji ya soko la nyumba za kima cha chini Tanzania imeonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ...Sheikh Ponda na wenzake tisa wakamatwa wakitaka kuandamana
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu 10 akiwemo kiongozi wa maandamano, Sheikh Ponda ambao walijitokeza katika viwanja ...Ajiua baada ya kukuta sms za mchepuko kwenye simu ya mumewe
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limethibitisha kifo cha mwanamke anayefahamika kwa jina la Marietha Bosco (32) mkazi wa kijiji cha Marungu wilaya ...