Maisha
Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano leo Dar es Salaam
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo kutokea misikiti mbalimbali kuelekea katika maeneo ya ...Miaka 8 jela kwa kumuua mchepuko wa mumewe
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imemhukumu kifungo cha miaka 8 jela mkazi wa Kasamwa wilaya ya Geita, Sumaye Mashaka (34) kwa kosa ...Wanaotengeneza biskuti zenye bangi wakamatwa Dar es Salaam
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata kilogramu 423.54 za bangi iliyosindikwa, maarufu kama skanka, katika operesheni maalum zilizofanyika ...Utafiti: Asilimia 21 ya wanawake Tanzania wamechepuka
Kwa mujibu wa ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022, asilimia 21 ya ...DC aagiza Lema akamatwe kwa uchochezi
Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumkamata Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA ...Israel kuongeza jitihada kuwapata Watanzania waliotekwa na Hamas
Israel imeahidi kuongeza jitihada kuwapata Watanzania wawili waliotoweka tangu kuanza kwa mapigano kati ya Hamas na Israel, ambao ni sehemu ya kundi ...