Maisha
Amuua mkewe kisa kapika nyama ya mbuzi wakati hakuacha pesa ya matumizi
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa mtaa wa Chitepo Mazwi, Manispaa ya Sumbawanga kwa kosa la kumuua mke ...BASATA yaufungia wimbo wa Nitasema wa Nay wa Mitego
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo wa ‘Nitasema’ wa msanii Emmanuel Elibariki maarufu Nay wa Mitego ikisema wimbo huo umekiuka ...Mwalimu akamatwa akifanya mapenzi na mwanafunzi chumbani kwake
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Nguno, Subiri Andson (37), iliyopo Wilaya ya Itilima, Simiyu, amejikuta katika mkondo wa sheria baada ya kufikishwa ...Baba na binti yake washitakiwa kwa kupanga kuua familia kwa sababu ya mali
Mzee mwenye umri wa miaka sabini na mbili, Antony Muya ameshtakiwa kwa kupanga kumuua mke wake wa zamani na watoto wake wanne ...Wawili washikiliwa kwa mauaji Arusha
Watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa tuhuma za kumuua Israel Paulo (36), Mkulima na Mkazi wa Leguruki, Wilaya ...Dkt. Mpango aagiza kasi ya usambazaji maji ili kutatua kero za maji
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Maji kuendelea na kasi ya usambazaji maji kutoka Ziwa Victoria ili kutatua adha ...









