Maisha
Rais wa Ujerumani aiomba radhi Tanzania kwa ukatili uliofanywa wakati wa ukoloni
Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier ameomba radhi juu ya mambo mabaya yaliyofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanganyika (sasa ...Dereva akamatwa kwa tuhuma za kumgonga na kumuua trafiki Mwanza
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia dereva wa gari la Shule ya Msingi Nyamuge, Philipo Mhina kwa tuhuma za kumgonga na kusababisha ...Makonda aagiza mawaziri kuandika ripoti za utendaji kazi wao
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda amewaagiza mawaziri wote nchini kuandaa taarifa katika kila robo ya mwaka wa bajeti ...Serikali yabainisha vyanzo vitakavyogharamia bima ya afya kwa wasio na uwezo
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kwa mara ya kwanza Rais Samia Suluhu Hassan anaweka historia na msingi wa kuhakikisha Watanzaia wasio ...Bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia Novemba 01
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/11/Cap-Prices-for-Petroleum-Products-wef-1st-November-2023-Kiswahili.pdf”]Maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI Tanzania yanapungua
Utafiti wa awali wa Viashiria na Matokeo ya UKIMWI umeonesha Tanzania imepata matokeo chanya katika mapambano dhidi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) ...