Maisha
Viongozi wa dini wahimizwa kuendelea kufundisha kuhusu umoja na amani
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa viongozi wa dini kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa elimu ya umoja na amani, ...Polisi wakanusha kumgonga mwananchi na kumsababishia kifo Kibaha
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limekanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu gari la Jeshi la Polisi kumgonga mwananchi eneo la ...Aliyegongwa na Mwendokasi kulipwa milioni 88
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imeiamuru kampuni ya UDA Rapid Transit (UDART) kumlipa Frank Zebaza fidia ya shilingi ...Rwanda yafunga makanisa zaidi ya 10,000
Serikali ya Rwanda imefunga zaidi ya makanisa 10,000 kwa kushindwa kutimiza masharti ya sheria ya mwaka 2018 inayodhibiti maeneo ya ibada nchini ...Fahamu viashiria 10 vya utapeli mtandaoni ili uepuke kutapeliwa
Matumizi ya mitandao imeongezeka kwa kasi ulimwenguni ambapo huduma mbalimbali zimerahisishwa. Ongezeko hilo linakwenda sambamba na ongezeko la wizi na utapeli, ambapo ...Serikali yatenga bilioni 11 usajili wa watoto NIDA
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema inafanya maandalizi ya kusajili watoto wenye umri wa chini ya miaka 18 ...








