Maisha
Rais Samia na Rais wa Ujerumani wajadili yaliyotokea wakati wa ukoloni
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania iko tayari kufungua majadiliano na Ujerumani ili kujadili na kukabiliana na athari na mambo mbalimbali yaliyotokana ...Benki ya NMB Yapata Faida Kabla ya Kodi ya TZS Bilioni 569 Robo ya Tatu ...
Faida Baada ya Kodi ya TZS Bilioni 398, ikiwa in ukuaji wa asilimia 22% mwaka hadi mwaka Jumla ya Mali zote zimefikia ...Jeshi la Polisi lawashikilia watu saba kwa kumteka mwanamke Masaki
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa saba kwa tuhuma za kupanga njama, kumtishia kwa silaha na kumteka ...Utafiti: Dar yaongoza kwa wanawake kuharibikiwa mimba
Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa mwaka 2022 yanaonesha kuwa asilimia 23 ya mimba katika mkoa ...Wanaoanza kunywa pombe chini ya miaka 15 hatarini kuwa waraibu
Utafiti umeonesha kuwa vijana wanaoanza kunywa pombe kabla ya umri wa miaka 15 wako katika hatari kubwa zaidi ya kupata matatizo ya ...Mikoa 5 inayoongoza kwa mimba za utotoni Tanzania
Mimba za utotoni ni hali inayotokea wakati msichana mwenye umri wa chini ya miaka 18 anapata ujauzito. Hali hii inaweza kuwa na ...