Maisha
Rais Samia ajiunga WhatsApp Channel
Rais Samia Suluhu Hassan ameandika historia nchini Tanzania kwa kuwa kiongozi wa kwanza kutumia na kuthibitishwa kwenye mfumo wa mawasiliano wa WhatsApp ...Mtoto wa miaka 14 ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti watoto
Jeshi la Polisi linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) mkazi wa Kijiji cha Mnete, kilichopo Kitongoji cha Chiano, Kata ya Nalingu, ...COSTECH yaja na bunifu za kusaidia katika matibabu
Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imesema miradi ya kimkakati ya Serikali chini ya tume hiyo inalenga kuipunguzia serikali gharama ...Akamatwa kwa kuigiza ana mshituko wa moyo ili asilipe bili mgahawani
Raia wa Lithunia, Aidas J mwenye umri wa miaka 50 amekamatwa nchini Uhispania kwa madai ya kuigiza amepatwa na mshtuko wa moyo ...Makamu wa Rais ataka utaratibu wa ufanyaji usafi mwisho wa wiki urudishwe
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema ni vema utaratibu wa kutumia siku za mwisho wa juma katika kufanya usafi wa pamoja ...Biashara 5 unazoweza kuanzisha kwa mtaji wa TZS 50,000
Kuanzisha biashara yoyote ile kunahitaji mipango mizuri, ubora katika utoaji huduma, kuelewa mahitaji ya soko lako pamoja na kufanya utafiti juu ya ...