Maisha
Serikali yawarejesha nchini Watanzania waliokuwa Israel
Serikali imewarejesha nchini Watanzania tisa waliokuwa nchini Israel kufuatia mapigano yanayoendelea kati ya Israel na kundi la Hamas na kusababisha maelfu ya ...Katibu Mkuu CWT ‘agoma’ kurudi Temeke kufundisha
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imeanza mchakato wa kufungua shauri la nidhamu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), ...Mama mbaroni kwa kutupa mapacha baada ya kujifungua
Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Roda Peter (30) mkazi wa Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma ya kuwaua ...Jafo: Zuio la matumizi ya mkaa na kuni haliwahusu wananchi
Serikali imetangaza kwamba katazo la matumizi ya kuni na mkaa litazihusu taasisi za umma na za binafsi pekee, na halitawahusu wananchi binafsi ...DCEA: Vijana wa vyuo wanaongoza matumizi ya dawa za kulevya
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kukevya (DCEA) imesema kundi la vijana wasomi wa vyuo vikuu ndio linaloongoza kwa matumizi ...Nchi 10 za Afrika zenye umri wa juu zaidi wa kuishi
Kulingana na Ripoti ya World Population Prospect ya mwaka 2022 inabainisha kuwa nchini Algeria, mtoto aliyezaliwa anatarajiwa kuishi zaidi ya miaka 77. ...