Maisha
Mwanariadha wa Uganda achomwa moto na mpenzi wake
Mwanariadha wa nchini Uganda, Rebecca Cheptegei (33) amelazwa katika hospitali moja nchini Kenya, baada ya kudaiwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto na ...Rais Samia: JWTZ halikujengwa kwa misingi ya kuwa jeshi la uvamizi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) halikujengwa katika misingi ya kuwa jeshi la uvamizi isipokuwa ...Wanakijiji wamzika ndani ya nyumba yake mwanaume wanayedai ameuawa na ndugu zake
Wakaazi wa kijiji cha Gesabakwa eneo la Bomachoge Borabu kaunti ya Kisii nchini Kenya wamemzika mwanaume aliyeuawa na watu wasiojulikana ndani ya ...Watatu wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua Selemani
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa Ahamadi Madi, Juma Malasi na Amiry Miniyama kwa kosa la kumuua Selemani Mohamed ...Mganga wa kienyeji apatikana na mafuvu 24 ya binadamu nchini Uganda
Mwanaume mmoja nchini Uganda anayetambulika kwa jina la Ddamulira Godfrey anashikiliwa na polisi baada ya kupatikana na mafuvu 24 ya vichwa vya ...









