Maisha
Israel: Wanafunzi wawili wa Kitanzania bado hawajulikani walipo
Balozi wa Tanzania nchini Israel, Alex Kallua amesema bado hawajapata taarifa juu ya wapi walipo wanafunzi wawili kutoka Tanzania ambao wapo nchini ...Watano wajitokeza kurekebisha maumbo Muhimbili
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Prof. Mohammed Janabi amesema hospitali hiyo imepokea watu watano waliojitokeza kujisajili ili kupata huduma ya ...Jela miaka mitano ukimwanika mtoa taarifa za uhalifu
Wakili wa Serikali kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Amani Manyanga amebainisha kuwa mamlaka au mtu yeyote anayepokea taarifa za siri kutoka ...Chalamila atoa wiki mbili mabasi 70 ya Mwendokasi yarekebishwe
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuhakikisha mabasi 70 ...Ujenzi Mwendokasi Posta-Boko kuanza Oktoba 15
Ujenzi wa miundombinu ya kupita mabasi yaendayo haraka (DART) kupitia Barabara ya Bibi Titi, Ali Hassan Mwinyi na Sam Nujoma unatarajia kuanza ...Kipato cha kila mkazi wa Dar chaongezeka kwa laki 5
Takwimu zilizotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zinaonesha ongezeko la asilimia 5 katika wastani wa kipato cha Mtanzania kwa mwaka ambao ...