Michezo
Afisa Habari wa KenGold ahukumiwa kwa kuomba na kupokea rushwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kulipa faini ya shilingi milioni 1 au kwenda jela miaka miwili Afisa Habari na Mawasiliano wa ...CRDB yasema malipo ya bingwa msimu uliopita ilipewa TFF
Benki ya CRDB, ambayo ndiyo mdhamini mkuu wa Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB, imesema malipo yote ya bingwa wa msimu ...Simba SC: Dabi iko pale pale
Klabu ya Simba imewataarifu wanachama na wapenzi wa mpira wa miguu kuwa mchezo namba 184 dhidi ya Yanga SC uliopangwa kufanyika Juni ...Yanga yasisitiza ‘Hatuchezi’ baada ya kikao na Bodi ya Ligi Kuu
Klabu ya Yanga imesema imewasilisha msimamo wao kwa Bodi ya Ligi Kuu wa kutoshiriki mchezo dhidi ya Simba SC uliopangwa kufanyika Juni ...Yanga yagoma kucheza Dabi, yasema mamlaka za soka chini zinatenda dhulma
Baada ya kesi Yanga SC kutupiliwa mbali na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), Uongozi wa klabu hiyo umesema msimamo ...Serikali yaagiza Uwanja wa Mkapa ukamilike kufikia Mei 10
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amemuagiza mkandarasi anayesimamia ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kuhakikisha maeneo muhimu ...