Michezo
Ligi Kuu ya NBC kurejea mwanzoni mwa mwezi Februari
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC katika juma la kwanza la Februari, 2025 ...Sababu za CAF kuahirisha mashindano ya CHAN hadi Agosti 2025
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) leo limetangaza kuahirisha Mashindano ya Mataifa ya Afrika ya TotalEnergies CAF (CHAN) Kenya, Tanzania, Uganda 2024 ...Bodi yatangaza kusimama kwa Ligi Kuu NBC kwa miezi miwili
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kusimama kwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC hadi Machi 1, 2025 itakaporejea kwa michezo ...Waziri aagiza Simba iandikiwe barua viti vilivyong’olewa vilipwe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua Simba SC juu ya ...Timu ya Taifa ya Nigeria yasusia mechi ya kufuzu AFCON
Timu ya Taifa ya Nigeria imeamua kutocheza mechi ya kufuzu Mashindano ya AFCON 2025 nchini Libya dhidi ya Mediterranean Knights baada ya ...BASATA yalaani tukio la Zuchu kutupiwa vitu jukwaani
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelaani tukio lililovuruga utumbuizaji kwa mwanamuziki Zuhura Othman Soud (Zuchu) baada ya kutupiwa vitu jukwaani na ...