Michezo
Tanzania yataka AFCON 2027 itangazwe kwa Kiswahili
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ...Mwakinyo afungiwa mwaka mmoja kwa kukiuka mkataba
Shirikisho la Ngumi Tanzania (TPBRC) limemfungia kwa muda wa mwaka mmoja bondia Hassan Mwakinyo pamoja na kutozwa faini ya TZS milioni moja ...Uwanja wa Mkapa kukamilika ndani ya siku tano
Ukarabati wa awamu ya kwanza unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa mkoani Dar es Salaam umefikia asilimia 95 na asilimia tano zilizobaki ...Twende Butiama yaanza safari ya kilometa 1500 kutoka Dar es Salaam kuelekea Butiama
Kuelekea kumbukumbu ya kumuenzi baba wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alifariki Oktoba 14, 1999, msafara wa waendesha baiskeli ...Mwakinyo: Mapromota waliingia mkataba wa siri na watu tusioelewana
Bondia maarufu nchini, Hassan Mwakinyo amesema sababu za kutangaza kutoshiriki pambano ni baada ya mapromota kuvunja makubaliano na kuingia mkataba wa siri ...Mwakinyo agoma kupanda ulingoni, atoa masharti
Bondia wa nchini Tanzania, Hassan Mwakinyo ametangaza kutopanda ulingoni Ijumaa Septemba 29, 2023 kupigana dhidi ya bondia Julius Indonga kwa kile alichoita ...