Michezo
Simba yatoa taarifa kuhusu hali ya Henock Inonga
Klabu ya Simba imesema mchezaji Henock Inonga hakupata majeraha makubwa baada ya kuumia katikati ya mchezo kati ya Simba SC na Coastal ...Mashabiki wanne wa Namungo wafariki wakiifuata Yanga
Mashabiki wanne wa Namungo FC wamefariki kwenye ajali eneo la Miteja karibu na Somanga wilayani Kilwa mkoani Lindi wakati wakisafiri kutoka Ruangwa ...Rais Samia aipa Taifa Stars milioni 500 kwa kufuzu AFCON
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 500 kwa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) baada ya kufukuzu kucheza fainali za ...Kampuni ya kubeti yaamriwa kumlipa John Bocco TZS milioni 200
Mahakama Kuu ya Tanzania imeiamuru kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Princes Leisure (T) Ltd ya jijini Dar es Salaam kumlipa mchezaji ...TFF yafafanua taarifa ya kufungiwa kwa Waziri Ndumbaro
Kutokana na mijadala inayoendelea mitandaoni juu ya kufungiwa kwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro, Shirikisho la Mpira wa ...