Michezo
Mandonga afungiwa mwezi mmoja, kufanyiwa uchunguzi Muhimbili
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) imesema bondia wa ngumi za kulipwa, Karim Mandonga hatoshiriki ngumi mpaka atakapopimwa afya yake baada ...Al Hilal kumlipa Neymar mshahara mara sita zaidi ya anaolipwa PSG
Nyota wa Brazil, Neymar (31) amekubali mkataba wa miaka miwili wa kujiunga na klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia na kuachana ...Parimatch yaidhamini Mashujaa FC
Zikiwa zimesalia takribani siku nane kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Kampuni ya michezo ya Kubahashiri Parimatch ...Amsha Mzuka na shilingi Milioni moja na Smarphone kutoka Parimatch
Zikiwa zimesalia siku chache kuanza kwa msimu mpya wa michuano ya kabumbu ulimwenguni kote, Kampuni ya michezo ya kubashiri Parimatch Tanzania imekuja ...Wachezaji wa Simba, Yanga na Singida hatarini kuzuiliwa Ngao ya Jamii
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema mpaka sasa ni Azam FC pekee iliyowasilisha vibali 10 vya wachezaji wa kigeni ambao ...KIBO GOLD Yarudi tena Kanda ya Kaskazini
Wakazi wa kanda ya mikoa ya kaskazini ya Arusha, Tanga, Manyara na Kilimanjaro wamekoshwa baada ya bia ya KIBO GOLD kurudi tena ...