Michezo
Je! Ni wakati sasa CAF ifute ushindi wa goli la ugenini?
Baada ya Klabu ya Yanga kuukosa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Afrika kwa kigezo cha ushindi wa goli la ugenini aliopata ...Rais Samia awasihi Yanga kumaliza mzozo na Fei Toto
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi wa klabu ya Yanga kumaliza mvutabo wa kimkataba unaoendelea kati yao na mchezaji wa ...Nabi: Morrison hana pumzi ya kutosha uwanjani
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema mchezaji na winga wa klabu hiyo, Bernard Morrison hapewi muda mwingi wa kucheza uwanjani kwa ...Rais wa FIFA aipongeza Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu
Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ...Fei Toto: Natamani kurudi uwanjani, Fei Toto ni mmoja tu
Mchezaji wa Yanga SC, Feisal Salum (Feo Toto) ameeleza matamanio yake ya kurudi uwanjani na kucheza mpira baada ya kukaa kwa muda ...Fei Toto aomba kuchangiwa afungue kesi mahakama ya michezo (CAS)
Mchezaji wa Yanga, Feisal Salum (Fei Toto) ameomba msaada kwa Watanzania kumchangia pesa ili kufungua jalada la kesi kwenye Mahakama ya Usuluhishi ...